Posted on: February 26th, 2025
MKUU wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Joshua Nassari amerejesha tabasamu la kijana aliyepata ulemavu wa viungo vya mguu na mkono kwa kumuwezesha kupata mguu bandia pamoja na kiti mwendo (Wheelchair).
...
Posted on: February 21st, 2025
Kamati ya ulinzi na usalama Halmashauri ya Wilaya ya Magu ikiongozwa na mkuu wa wilaya Mhe. Joshua Nassari imefanya ziara ya kukagua utoaji wa huduma katika hospitali ya Wilaya ya Magu, kukagua majeng...
Posted on: January 27th, 2025
MKUU wa Wilaya ya Magu, Joshua Nassari leo Jumatatu amewaongoza watumishi wa Halmashauri ya wilaya hiyo pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari Magu kupanda miti katika hospitali ya wilaya ya Magu k...