Posted on: October 7th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Magu imepongezwa katika kutumia mifumo ya Tehama kwenye utoaji wa huduma za kijamii ambayo yamerahisisha huduma hizo katika sekta ya Afya, Elimu na maendeleo ya jamii.
...
Posted on: October 6th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Magu, Rachel Kassanda amewataka wananchi wa Wilaya hiyo kuchukua tahadhari dhidi ya mvua kubwa ( El-Nino) zilizotabiriwa kunyesha kuanzia mwezi Oktoba 2023 baada ya Mamlaka ya ...
Posted on: September 27th, 2023
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayesimamia masuala ya Afrika Mashariki Mhe. Stephen Byabato (Mb.) ameupongeza Uongozi na safu nzima ya Watendaji wa Wilaya ya Magu kwa...