Kitengo cha Ugavi
Halmashauriya wilaya ya Magu ina kitengo cha ugavi ambacho kimeundwa kulingana na nasheria ya Manunuzi ya mwaka 2004 na kanuni za 2005,kifungu cha sheria Na.34,katika kila taasisi za Umma lazima kuwepo na kitengo cha Manunuzi na Ugavi.
- Kitengo chaununuzi na Ugavi kinaundwa na wataalamu wa ununuzi na ugavi pamoja na wataalam wengine wenye ujuzi mbalimbali (The procurement Management Unit shall consistof procurement and other technical specialists together with the necessarysupporting and administrative staff).
Mkuu waKitengo chaununuzi na Ugavi ana sifa za kutosha kuendesha kitengo hiki
MAJUKUMU YA KITENGO CHA UNUNUZI NA UGAVI
- Kusimamia shughuli zotezinazohusiana na ununuzi na Ugavi katika Taasisi husika.
- Kusaidiautekelezaji wa kazi za bodi ya Zabuni.
- Kutekeleza maamuziya bodi ya Zabuni.
- Ni sekretarieti yabodi ya Zabuni.
- Kuandaa na kupitiaorodha ya mahitaji.
- Kuandaa nyaraka zaZabuni.
- Kuandaa matangazoya Zabuni.
- Kuandaa nyaraka zaMikataba.
- Kutoa mikataba kwawakandarasi/Wazabuni baada ya kusaini.
- Kuandaa taarifa yakila mwezi ya bodi ya Zabuni.
- Kuandaa taarifazingine kwa wakati husika.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa