Posted on: August 2nd, 2018
Mkurugenzi Mtendaji (W), Bw. Lutengano G. Mwalwiba amefanya Ukaguzi wa ujenzi/ukarabati wa kituo cha Afya kinachoendelea kujengwa katika kijiji cha Lugeye Kata ya Kitongosima tarehe 01.08.2018. Akiwa ...
Posted on: July 13th, 2018
Mafunzo hayo yametolewa na watumishi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji la Mkoani Mwanza leo tarehe 13.07.2018 ambapo yamefanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Watumishi wa Idara mbalim...
Posted on: June 21st, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Magu Mwalimu Khadija Nyembo ameitaka Jamii kuhakikisha inasimamia malezi na makuzi ya watoto vizuri wakati Taifa likiwa linaekea katika Uchumi wa Viwanda. Ameyasema hayo ...