Posted on: August 23rd, 2023
Kamati ya Fedha ya Halmashauri ya Wilaya ya Magu ikiongozwa na Mwenyekiti Bw. Mpandalume Simon imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maji inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu.
...
Posted on: August 21st, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Magu Rachel Kassanda anaendelea na ziara ya kukagua shughuli mbalimbali za miradi ya maendeleo Wilayani humo Leo ametembelea mradi wa maji majibomba Chabula- Bugando unaotekele...
Posted on: August 19th, 2023
Wakati zoezi la kuripoti wanafunzi wa kidato cha tano kwa mhula mpya wa masomo 2023 likiendelea wazazi wamehimizwa kuwapeleka watoto shule ili waanze masomo kwa wakati kwakua walimu wapo tayari kufund...