Wasimamizi 50 wa uchaguzi ngazi ya kata katika Halmashauri ya wilaya ya Magu wameapishwa leo tarehe 4 Agosti, 2025 ikiwa ni muendelezo wa maandalizi ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba mwaka huu.
Wasimamizi hao wameapishwa na Hakimu Erick John Kimaro mjini Magu.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa