Posted on: April 18th, 2017
Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango wamefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika kipindi cha Januari – Machi, 2017. Wajumbe hao wamekagua mradi wa kisima Kirefu cha maji Ng’haya Ma...
Posted on: March 31st, 2017
Mkuu wa Wilaya Magu Mhe. Khadija Nyembo azungumza na wadau wa elimu katika kikao kilichofanyika terehe 30.03.2017 katika ukumbi wa Magu Sekondari. Wakati akifungua kikao hicho ameeleza kuwa lengo kuu ...
Posted on: March 22nd, 2017
Katibu Tawala (W) Ndg. F. Nyoni alimwakilisha Mkuu wa Wilaya katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya maji Duniani yaliyofanyika Ki-wilaya Katika kata ya Ng’haya. Ameanza kwa kufungua kisima kirefu ch...