Serikali tayari imeonyesha njia kwa kuwekeza miradi kadhaa yenye msaada wa IFAD, AfDB, FAO na Serikali ya Israel, lakini inaweza kuhitaji uwekezaji zaidi ili kuboresha ufanisi wa matumizi ya kilimo cha umwagiliaji na kupata mazao bora na yakujitosheleza.
Mipango ya maeneo ya Uwekezaji katika Wilaya ya Magu;
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa