Posted on: January 21st, 2025
KATIKA kutimiza malengo ya upandaji miti milioni 1.5, Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza imepokea miche ya miti 100,000 kutoka kwa Kampuni ya huduma kwa wateja - Via Aviation pamoja na Chama ...
Posted on: January 16th, 2025
Kamati ya fedha, uongozi na mipango katika halmashauri ya wilaya ya Magu imeeleza kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa wilayani humo.
Hayo yamebainishwa katika ziara ya ...
Posted on: January 14th, 2025
KAIMU Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu, Mohamed Kyande amewataka maofisa ugani wa halmashauri hiyo kuhakikisha wanatumia kwa malengo yaliyokusudiwa pikipiki walizogawiwa na Serikali kwa aji...