Posted on: August 27th, 2025
MWENGE wa Uhuru umepokewa leo tarehe 27 Agosti, 2025 wilayani Magu kutokea wilayani Ilemela na unatarajiwa kupitia miradi nane yenye thamani ya Sh bilioni 2.
Akipokea Mwenge huo katika hafla iliyof...
Posted on: August 22nd, 2025
Wagombea nane wa nafasi ya ubunge kupitia vyama mbalimbali vya siasa wameendelea kujitokeza katika ofisi ya msimamizi wa uchaguzi jimbo la Magu kwa ajili ya kuchukua fomu za uteuzi wa nafasi ya ubunge...
Posted on: August 19th, 2025
MKUU wa Wilaya ya Magu, Jubilate Lawuo amekutana na viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wilayani humo ambao pamoja na mambo mengine wamemhakikishia ushirikiano katika kuwafikishia maendeleo wananch...