Posted on: August 15th, 2025
WAGOMBEA watatu kutoka vyama vya AAFP, SAU na Demokrasia Makini wamejitokeza leo Ijumaa kuchukua fomu za uteuzi wa kugombea ubunge katika jimbo la Magu mkoani Mwanza.
Wagombea hao Daniel Nko (AAFP)...
Posted on: August 14th, 2025
Taasisi isiyo ya kiserikali ya Determined Education and Rural Empowerment (DERE) imekabidhi msaada wa viti mwendo 75 kwa Halmashauri mbalimbali za mkoa Mwanza ambapo wilaya ya Magu imenufaika kwa kupa...
Posted on: August 6th, 2025
WASIMAMIZI Wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata katika Halmashauri ya wilaya ya Magu wametakiwa kusimamia viapo walivyokula kwa kutunza siri pamoja na kuzingatia uweledi kwa kipindi chote cha uchaguzi ...