Kutoa huhuma ya maji safi na salama kwa wananchi wa Magu mjini na vijijini.
kuwapatia wananchivyanzo mbalimbali vya maji kama vile miradi ya maji bomba, visims virefu na visima vifupi.
kuelezea muongozo wa wizara ya maji juu ya uendeshaji vyombo vya watumiaji maji.
Kutoa elimu kwa wananchi na COWSO (kamati za maji) kuhusu SERA YA MAJI YA MWAKA 2002, SHERIA YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA NA.12 YA MWAKA 2009 kuhusiana na usimamizi na uendeshaji miradi ya maji.
kuelezea Muongozo wa WIZARA YA Maji juu ya uendeshaji wa vyombo vya watumiaji maji.
kusimamia Miradi yote inayohusiana na Maji katika Wilaya.