Posted on: January 11th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji (W) amesimamia ugawaji wa viti mwendo kwa watoto wenye ulemavu katika eneo Bujora kutoka kwenye shirika la Determined Education and Rural Empowerment (DERE).
...
Posted on: October 23rd, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Magu Mheshimiwa Salum Kalli tarehe 23.10.2020 amekabidhi fedha na pikipiki 21 kwa vikundi vya wajasiliamali (wanawake Vijana na walemavu), Maafisa Ugani na polisi kama asilimia...