Halmashauri inazo jumla ya Shule 30 za sekondari ambapo shule za Serikali ni 23 na Shule za watu binafsi ni 7. Shule 2 zina kidato cha I hadi cha vi.
WALIMU
Halmashauri inao jumla ya walimu 617 wenye ajira rasmi za Serikali,
WANAFUNZI
Halmashauri ya Magu ina jumla ya wanafunzi wa sekondari 18,861 kwa mwaka 2020.
MIUNDOMBINU
Maabara 63
Viti 12356
Meza 12635
Madarasa-297
Hosteli-14
Matundu ya vyoo vya wanafunzi-341
Matundu ya vyoo vya walimu-42
Nyumba za walimu-71
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa