Posted on: July 16th, 2025
Vijana katika Wilaya ya Magu wameaswa kutumia kikamilifu fursa za mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri ili kujikwamua kiuchumi.
Rai hiyo imetolewa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Ma...
Posted on: July 10th, 2025
Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Magu imetoa mafunzo elekezi kwa walimu 120 ajira mpya waliohudhuria mafunzo hayo ambapo walimu 57 ni wa shule za sekondari na 63 shule za msingi katika wilaya ya Magu....
Posted on: July 10th, 2025
MKUU wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Jubilate Win Lawuo ameongoza kikao cha maandalizi ya mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 kilichofanyika leo tarehe 10 Julai, 2025 katika ofisi za Halmashauri ya wilayani...