Posted on: June 6th, 2025
KATIKA kuchagiza maendeleo kwa wananchi wa Magu mkoani Mwanza, Mbunge wa jimbo hilo, Boniventure Kiswaga amegawa mifuko 1,040 ya saruji kusaidia ujenzi wa maabara, madarasa na zahanati katika kata 12 ...
Posted on: June 5th, 2025
ILI kuendana na mabadiliko ya mitaala ya elimu ya msingi na awali, Halmashauri ya wilaya ya Magu imegawa zana za ujifunzaji na ufundishaji kwa shule za msingi 53 za serikali zenye madarasa ya awali wi...
Posted on: June 4th, 2025
KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan za kuhamasisha wananchi kutumia nishati safi na kuhifadhi mazingira, Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania katika wilaya ya Magu, umezalisha na k...