Posted on: March 4th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Magu Mheshimiwa Philemon Sengati (PhD) ameongoza Baraza la biashara la Wilaya ya Magu katika ukumbi wa Mikutano wa Halmshauri ya Wilaya ya Magu kwa mara ya kwanza tangu W...
Posted on: February 19th, 2019
Mradi Mkubwa wa Maji Magu mjini umefikia hatua mbalimbali za utekelezaji, hadi sasa umegharimu bilioni 16 na umefikia 68%. unategemewa kukamilika Mei, 2019, hadi mradi kukamilika mabomba yatasambazwa ...
Posted on: January 28th, 2019
Kituo cha afya Kahangara kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu, kimeshika nafasi ya tatu kitaifa katika utoaji wa huduma bora za afya na kikiwa kinara katika Mkoa wa Mwanza. Kituo hicho kilik...