English
Kiswahili
Wasiliana nasi
|
Maswali ya mara kwa mara
|
Barua pepe za watumishi
|
Malalamiko
|
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
Toggle navigation
Mwanzo
Kuhusu sisi
Historia
Orodha ya viongozi Waliopita
Wenyeviti wa Halmashauri
Wakurugenzi
Wakuu Wa Wilaya
Dira na Dhima
Maadili ya Msingi
Utawala
Muundo wa Taasisi
Idara
Ardhi na Maliasili
Kilimo , umwagiliaji na Ushirika
Mifugo na Uvuvi
Utumishi na utawala
Idara ya Mipango
Maendeleo ya Jamii
Idara ya Ujenzi
Idara ya Elimu Msingi
Idara ya Elimu Sekondari
Idara ya Afya
Idara ya Maji
Idara ya Fedha
Vitengo
Kitengo cha Sheria
Kitengo cha Ugavi
Kitengo cha Tehama
Internal Audit Unit
Fursa za Uwekezaji
Kivutio cha Utalii
Bujora
Miundombinu ya Umwagiliaji
Huduma
Afya
Maji
Elimu
Kilimo
Madiwani
Baraza la Madiwani
Wajumbe wa Baraza la Madiwani
Orodha ya Madiwani
Kamati za Kudumu za Halmashauri
Kamati ya fedha, Uongozi na Mipango
Kamati ya Elimu, Afya na Maji
Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
Kamati ya UKIMWI (CMAC)
Kamati ya Maadili
Ratiba ya vikao vya Halmashauri
Miradi
Miradi iliyokamilika
Maeneo ya uwekezaji
Bajeti
2016/2017 Budget
TASAF
Mpango Mkakati
Machapisho
Miongozo
Taratibu
Ripoti
sheria
Fomu mbalimbali
Zabuni
Kituo cha Habari
Taarifa kwa vyombo vya Habari
video
Hotuba
Picha
Habari
Kitengo cha Tehama
Kitengo Cha Tehama Na Uhusiano
Kazi za kitengo
Kitengo kitasimamiwa na Mkuu wa Kitengo ambaye ataratibu na kusimamia shughuli zote za TEHAMA na Uhusiano katika Halmashauri.
Eneo la Tehama
Kuhakikisha mifumo ya TEHAMA iliyopo katika Halmashauri inafanya kazi kama inavyotakiwa;
Kutoa msaada wa kiufundi kwa watumishi wote wa Halmashauri katika eneo la TEHAMA;
Kutoa mafunzo kwa watumishi wa Halmashauri katika masuala ya TEHAMA zikiwemo programmu mbalimbali;
Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa mifumo, miundombinu na vifaa vya TEHAMA;
Kuibua mahitaji ya mifumo ili iweze kusanifiwa na kisha kutengenezwa na kutumika;
Kuchambua na kuainisha huduma zinazoweza kutolewa na mifumo ya kielekroniki katika Halmashauri;
Kuhakikisha miundombinu kiambo (
Local Area Network
) katika Halmashauri inafanya kazi na mtandao wa intaneti unapatikana;
Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kuteleza kazi za TEHAMA katika Halmashauri;
Kutengeneza utaratibu mzuri wa kutunza taarifa na
data
ili ziweze kutumika wakati wa majanga;
Kufanya na kusimamia matengenezo ya vifaa vyote vya TEHAMA;
Kutafiti na kuchambua matatizo ya vifaa vya TEHAMA na kutoa suluhisho;
Kushirikiana kwa karibu na wataalamu wa TEHAMA wa Mkoa na wa Wizara ili kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo;
Kutoa
specification
za vifaa kwa ajili ya manunuzi;
Kushiriki katika zabuni za vifaa vya TEHAMA na kuhakiki ubora wake kabla havijaanza kutimika; na
Kuhakikisha Halmashauri ina tovuti na inapatikana wakati wote.
Eneo la Uhusiano
Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa kazi za Uhusiano;
Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kuteleza kazi za Uhusiano katika Halmashauri;
Kutangaza kazi na miradi inayofanyika katika Halmashauri;
Kutangaza maeneo ya uwekezaji ya Halmashauri katika tovuti, radio na majarida;
Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri ina taarifa mpya kila wakati pamoja na
District Profile
;
Kuandaa na kutoa majarida kuhusu Halmashauri;
Kushiriki katika mijadala ya jamii kuhusu masuala ya Halmashauri;
Kutumia TEHAMA katika kutoa elimu kwa jamii;
Kusimamia
press briefing
za Halmashauri;
Kushauri Halmashauri juu ya uandaaji, uzalishaji na usambazaji wa nyaraka kwa wadau mbalimbali; na
Kushirikiana kwa karibu na afisa uhusiano wa Mkoa na wa Wizara ili kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo
Matangazo
TANGAZO LA AJIRA MPYA MEI 2023 HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU
May 05, 2023
TANGAZO LA KUWEPO KWA MVUA ZA EL-NINO WILAYA YA MAGU 2023/2024
October 01, 2023
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KADA ZA DEREVA DARAJA LA II, MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI
November 08, 2023
TANGAZO KWA UMMA
November 18, 2022
Angalia zote
Habari mpya
WAZALISHA MBEGU FEKI WADAKWA MAGU, DC NASSARI ATOA UJUMBE KWA WAKULIMA
October 25, 2024
MCHENGERWA: JITOKEZENI KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA
October 21, 2024
Mwenge wa Uhuru wazindua Shule ya Msingi Igudija yenye thamani ya Sh milioni 540
October 12, 2024
Kiongozi mbio za mwenge aweka jiwe la msingi Kituo cha Afya Nyanguge
October 13, 2024
Angalia zote