Kamati ya maadili ya madiwani ni miongoni mwa kamati za Halmashauri. Kamati hii inaundwa na wajumbe 4. Majukumu yake ni kusimamia maadili kwa Viongozi. Orodha ya wajumbe ni kama ifuatavyo;-
| WAJUMBE WA KAMATI YA MAADILI | ||||
| NA | JINA | CHEO | KATA/JIMBO | NAMBA YA SIMU |
| 1 | Mh. Machibula Lucas Deus | Mwenyekiti | Kahangara | 0687 - 035895 |
| 2 | Mh. Peter Mboyi Deogratius | Diwani | Jinjimili | 0763 - 504859 |
| 3 | Mh. Gunze Philipo Sylivester | Diwani | Mwamabanza | 0752 - 671601 |
| 4 | Mh. Anna Pastory Makula | Diwani Viti Maalum | Shishani | 0752 - 693643 |
| 5 | Mh. Edda Benjamin Mgasa | Diwani Viti Maalum | Magu Mjini | 0767 - 680808 |
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa