Kila mfanyabiashara anae omba leseni anatakiwa kulipia kodi ya huduma (Service Levy) ambayo ni asilimia 0.3 ya mauzo yake kwa siku.