Posted on: September 23rd, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Magu Dkt. Philemon Sengati,kwa niaba ya wananchi wote wa Magu ametuma Salaam za pole kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na familia za wahanga wa janga la ajali...
Posted on: August 29th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Magu imepokea Mwenge wa Uhuru Tarehe 27.08.2018 katika kijiji cha Mwamabanza. Mwenge huo umefungua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya Shil...
Posted on: August 21st, 2018
Mratibu wa TASAF Magu Ndg. Daniel Sanyenge amepata Pongezi hizo Katika Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani wa kupitia hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Uliofanyika T...