Posted on: July 1st, 2025
ALIYEKUWA Katibu Tawala ya Wilaya ya Magu -DAS, Jubilate Win Lauwo leo Jumanne tarehe 1 Julai, 2025 amekabidhi ofisi kwa Zuberi Said Zuberi na kumuahidi ushirikiano wa kutosha katika nafasi yake hiyo ...
Posted on: June 21st, 2025
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka
Watanzania kushiriki kikamilifu kulinda maadili kwa ajili ya ustawi wa jamii kwa kuwa jukumu
hilo ni la Watanzania.
Rais Dkt. Samia ameyasema...
Posted on: June 18th, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Magu kwa kupata Hati inayoridhisha ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa miaka mitatu mfululiz...