Katika kuadhimisha miaka 58 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar mkuu wa wilaya ya magu ,mkurugenzi mteendaji kamati ya ulinzi na usalama watumishi pamoja na wananchi washiriki katika kuchimba msingi wa jengo la mama na mtoto litakalogharimu zaidi ya tsh millioni 250 katika kituo cha afya shishani
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa