Halmashauri ya wilaya ya Magu mkoani mwanza imeanza kutoa zawadi kwa walimu na wanafunzi wanafanya vizuri katika mitihani mbalimbali hasa mitihani ya kitaifa hayo yamesemwa leo 21/04/2022 na mkuu wa wilaya ya Magu Mh SALUM KALLI wakati akikabidhi zawadi mbalimbali kwa walimu na wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani wa kidato cha NNE 2021
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa