Mradi wa Uimarishaji wa mifumo ya Sekta za Umma ujulikanao kwa kiingereza Public Sector Systems Strengthening (PS3) Umeendesha Mafunzo ya siku mbili wilayani Magu ya kuwajengea uwezo ,Maarifa na Stadi za mfumo wa uhasibu na utoaji wa taarifa za fedha kwa ngazi ya kituo cha kutolea Huduma [Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)].Mafunzo hayo yatasaidia upatikanaji wa taarifa sahihi katika mahesabu ya mapato na matumizi.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa