• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MAGU DISTRICT COUNCIL
MAGU DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Magu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Orodha ya viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu Wa Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo , umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Utumishi na utawala
      • Idara ya Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Fedha
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Tehama
      • Internal Audit Unit
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
      • Bujora
    • Miundombinu ya Umwagiliaji
  • Huduma
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
      • Wajumbe wa Baraza la Madiwani
      • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya UKIMWI (CMAC)
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Bajeti
      • 2016/2017 Budget
    • TASAF
    • Mpango Mkakati
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • sheria
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari

KISWAGA AZIPIGA JEKI KATA 12 KWA MIFUKO 1040 YA SARUJI, MADAWATI 130

Posted on: June 6th, 2025

KATIKA kuchagiza maendeleo kwa wananchi wa Magu mkoani Mwanza, Mbunge wa jimbo hilo, Boniventure Kiswaga amegawa mifuko 1,040 ya saruji kusaidia ujenzi wa maabara, madarasa na zahanati katika kata 12 zilizopo katika jimboni humo.

Pia amegawa madawati 130 kwa shule mbalimbali za msingi na sekondari sambamba na vifaa mbalimbali vya upauaji wa nyumba za walimu, shule na zahati zinazoendelea kujengwa katika jimbo hilo.

Saruji na vifaa hivyo vimekabidhiwa na wajumbe wa kamati ya mfuko wa jimbo walioongozwa na Lucas Bomoa ambaye ni Diwani wa Kandawe (CCM), kwa niaba ya Kiswaga kwa lengo la kuendeleza ujenzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa jimboni humo.

Akizungumza na wananchi wa kata hizo jana Alhamisi na leo Ijumaa katika ziara maalumu ya kukabidhi vifaa hivyo, Bomoa amesema Kiswaga amedhamiria kutatua changamoto zinazoikabili sekta ya elimu na afya jimboni humo ili kustawisha maendeleo ya wananchi wake.

Akipokea misaada hiyo, baadhi ya walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari akiwamo Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Lutale, Hezron Kitundu amemshukuru mbunge huyo kwa kusaidia vifaa vya upauaji wa nyumba ya walimu.

“Tunashukuru sana kwa sababu baada ya nyumba hii kukamilika walimu tutakaa karibu na shule na kufuatilia kwa karibu maendeleo ya wanafunzi wetu,” amesema.

Naye Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Deleli iliyopo kata ya Bujashi, Leticia Mlomo amemshukuru mbunge huyo kwa kuwapatia mifuko 100 ya saruji ambayo inakwenda kusaidia ujenzi wa maabara.

“Hitaji letu kubwa ni maabara kwa sababu sasa tumepata kidato cha tatu. Tunaahidi kutumia vema msaada huu ili kuhakikisha inatumika kama inavyotakikana kwenye ujenzi,” amesema.

Wakati Elias Petro - mwenyekiti Kijiji cha Ihushi ambaye amepokea mifuko 100 ya saruji pia ameahidi kuisimamia katika ujenzi wa mradi ulioanzishwa na wananchi wake.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA WALIOTEULIWA KATIKA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA II April 28, 2025
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU ENEO LA ILUNGU NA IGUDIJA TAREHE 02/12/2024 December 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA November 18, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA SHULE YA WASICHANA YA MKOA WA MWANZA MWANZA GIRLS SS 2023 December 16, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • KISWAGA AZIPIGA JEKI KATA 12 KWA MIFUKO 1040 YA SARUJI, MADAWATI 130

    June 06, 2025
  • Shule 53 Magu zagawiwa zana za kufundishia wanafunzi wa awali

    June 05, 2025
  • TFS MAGU YAGAWA MICHE 200,000 YA MITI KUUNGA MKONO JITIHADA ZA SAMIA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    June 04, 2025
  • PPRA YAWAPIGA MSASA WALIMU WAKUU, WATENDAJI KATA MAGU KUHUSU MATUMIZI MFUMO NeST

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Serikali yatoa Matrekata 33 katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • Fomu ya Kusafiri nje ya Kituo cha kazi
  • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Fomu ya Opras
  • Fomu Mpya ya Maombi ya Likizo kwa watumishi
  • Fomu ya Quotation ya likizo
  • Taratibu za mikutano na uendeshaji shughuli za Halmashauri
  • Mwongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Mwanza
  • Utaratibu wa kutoa Leseni ya Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Wakala ya Serikali Mtandao.
  • Wizara ya Afya
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya serikali
  • Ofisi ya Taifa ya takwimu Tanzania
  • tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa