• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MAGU DISTRICT COUNCIL
MAGU DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Magu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Orodha ya viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu Wa Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo , umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Utumishi na utawala
      • Idara ya Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Fedha
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Tehama
      • Internal Audit Unit
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
      • Bujora
    • Miundombinu ya Umwagiliaji
  • Huduma
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
      • Wajumbe wa Baraza la Madiwani
      • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya UKIMWI (CMAC)
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Bajeti
      • 2016/2017 Budget
    • TASAF
    • Mpango Mkakati
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • sheria
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari

MAGU YAGAWA VIFAA SAIDIZI KWA WALIMU WENYE MAHITAJI MAALUMU

Posted on: February 4th, 2026

Walimu wenye mahitaji maalumu katika Halmashauri ya wilaya ya Magu wamekabidhiwa vifaa saidizi kwa lengo la kuboresha mbinu za ufundishaji na kuongeza ufanisi wa utoaji wa elimu.

Vifaa hivyo kutoka Serikali kuu vimekabidhiwa kwa walimu watatu wenye mahitaji maalum kutoka shule za msingi za Magu, Nenge pamoja na shule ya sekondari Moha.

Akikabidhi vifaa hivyo leo Februari 4, 2026 wilayani Magu kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Mkuu wa Idara ya utumishi, Henry Sadatale amesema vifaa vilivyotolewa ni kompyuta mpakato (laptop) tatu.

 

Amesema kuwa vifaa hivyo vitawawezesha walimu kutumia teknolojia katika ufundishaji, hivyo kuchangia ongezeko la ufaulu kwa wanafunzi.

Aidha, amewataka walimu hao kuvitunza na kuvitumia kwa malengo yaliyokusudiwa ili kuleta tija iliyokusudiwa na Serikali.

“Pia niishukuru wizara kwa kuendelea kuratibu zoezi hili kwani hata sisi inatusaidia kufuatilia utendaji kazi wa walimu wetu,” amesema.

Akizungumza kwa niaba ya walimu wenzake waliopokea vifaa hivyo Aloyce Masero (Moha Sekondari), ameishukuru Serikali kwa kuwapatia vifaa saidizi ambavyo vitawarahisishia kazi ya ufundishaji, hasa katika matumizi ya teknolojia, ikilinganishwa na awali ambapo walikuwa wanategemea vitabu pekee.

Walimu wengine waliopatiwa vifaa hivyo ni Sabare Mseti kutoka shule ya msingi Magu na Lameck Edward kutoka shule ya msingi Nenge.

Ikumbukwe kuwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, alizindua zoezi la ugawaji wa vifaa vya kielimu na vya saidizi kwa walimu, wakufunzi na walimu tarajali wenye ulemavu vyenye thamani ya shilingi bilioni 5.3 nchini kote.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA WALIOTEULIWA KATIKA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA II April 28, 2025
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU ENEO LA ILUNGU NA IGUDIJA TAREHE 02/12/2024 December 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA November 18, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA SHULE YA WASICHANA YA MKOA WA MWANZA MWANZA GIRLS SS 2023 December 16, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MAGU YAGAWA VIFAA SAIDIZI KWA WALIMU WENYE MAHITAJI MAALUMU

    February 04, 2026
  • WANANCHI WA MWAMANGA WAISHUKURU SERIKALI KWA KUWAPATIA HATI ZA HAKIMILIKI ZA KIMILA

    February 03, 2026
  • MADIWANI MAGU WAPIGWA MSASA UTEKELEZAJI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE

    January 29, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA MAPENDEKEZO YA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI Y SHILINGI BILIONI 73.25

    January 29, 2026
  • Angalia zote

Video

Serikali yatoa Matrekata 33 katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • Fomu ya Kusafiri nje ya Kituo cha kazi
  • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Fomu ya Opras
  • Fomu Mpya ya Maombi ya Likizo kwa watumishi
  • Fomu ya Quotation ya likizo
  • Taratibu za mikutano na uendeshaji shughuli za Halmashauri
  • Mwongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Mwanza
  • Utaratibu wa kutoa Leseni ya Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Wakala ya Serikali Mtandao.
  • Wizara ya Afya
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya serikali
  • Ofisi ya Taifa ya takwimu Tanzania
  • tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa