Posted on: October 10th, 2022
Wilaya ya Magu imepokea fedha kiasi cha Tshs Billioni tatu na millioni miambili sitini (3,260,000,000/=) kama ruzuku kutoka serikali kuu kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 163 vya wanafu...
Posted on: September 26th, 2022
Mganga mkuu wa wilaya ya magu Dr MARIA KAPINGA leo tarehe 26/09/2022 amekabidhi tuzo ya huduma bora ya afya kwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya magu Bi FIDELICA G MYOVELLA ...
Posted on: July 3rd, 2022
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Magu Bi. Fidelica myovella anayofuraha kuwapokea na na kuwakaribisha waajiliwa wapya waliopangiwa kufanya kazi katika halmashauri ya wilaya ya magu hivy...