Sherehe za Uzinduzi wa kilimo cha pamba mkoa wa mwanza zimefanyika wilayani magu ambapo mkuu wa mkoa wa mwanza MHANDISI ROBERT GABRIEL amewakilishwa na mkuu wa wilaya ya magu mh SALUM A KALLI katika kijiji cha bugatu
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa