Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Magu Bi. Fidelica myovella anayofuraha kuwapokea na na kuwakaribisha waajiliwa wapya waliopangiwa kufanya kazi katika halmashauri ya wilaya ya magu hivyo basi kama kuna jambo mwajiliwa anataka kupata ufafanuzi au msaada awasiliane na viongozi kwa namba zilizo orodheshwa kwenye kipeperushi katika tovoti hii
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa