Mradi wa maji safi na salama uli0jengwa na wafadhiri toka jiji la WORZBURG chini ujerumani umekabidhiwa rasmi kwa serikali ya Tanzania katika kisiwa cha ijinga kilichopo wilayani magu makabidhiano hayo yamefanywa na meya wa jiji la worzburg mbele ya mkuu wa wilaya ya magu MH SALUM KALLI pamoja na mkurugenzi mtendaji wa wilaya hiyo Bi Fidelica Myovela
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa