Mganga mkuu wa wilaya ya magu Dr MARIA KAPINGA leo tarehe 26/09/2022 amekabidhi tuzo ya huduma bora ya afya kwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya magu Bi FIDELICA G MYOVELLA pamoja na wajumbe wa SMT Kwa niaba ya mkurugenzi mkuu wa Baylor Tanzania mara baada ya wilaya hiyo kupewa tuzo hiyo ilishindaniwa na mikoa mitano ya kanda ya ziwa katika nyanja ya utoaji wa huduma bora kwa watoto wanaoishi na maambukizi ya VVU
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa