Wilaya ya Magu imepokea fedha kiasi cha Tshs Billioni tatu na millioni miambili sitini (3,260,000,000/=) kama ruzuku kutoka serikali kuu kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 163 vya wanafunzi watakaochaguliwa kuingia kidato cha kwanza 2023 kazi ya ujenzi inatarjiwa kuanza Octoba na kukamilika Desemba 2022.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa