Mkuu wa wilaya ya magu mh SALUM KALLI aongoza viongozi wa chama na serikali pamoja na wananchi kupanda miti zaidi ya 2000 katika kuazimisha miaka 60 ya sherehe za uhuru wa Tanganyika sherehe hiyo kiwilaya imefanyika katika chuo cha mipango kilichopo mji wa kisesa wilayani magu
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa