Nichukue fursa ya kuwakaribisha wasomaji wote kwenye tovuti yetu ya Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Tovuti hii inatoa habari kuhusu Halmashauri ya Wilaya ya Magu, kazi na shughuli zake ambazo zinatekelezwa vyema. Kwa kuongozwa na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kifungu cha 18 -kinachohusu Upatikanaji wa Habari, Tovuti hii itakuwa chanzo sahihi cha habari mbalimbali kwa wananchi wote.
"Magu Kusema na Kutenda"
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa