Mkuu wa wilaya ya magu atembele mradi wa shule ya wasichana ya mkoa wa mwanza (MWANZA GIRLS SECONDARY SCHOOL)inayojengwa wilayani magu kwa thamani ya bilioni 4 na kuridhishwa na hatua za mradi ulipofikia lakini pia alishauri mafundi na wasimamizi wa mradi huo kuongeza kasi ya ujenzi ili shule hiyo iweze kupokea wananfunzi wa kidato cha tano mwaka huu
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa