Mkuu wa wilaya ya magu mh RACHEL KASSANDA ametembelea kwa mara ya kwanza katika eneo la kihistoria la KAGEYE lililopo kijiji cha kageye na kujionea na kupata maelezo juu ya historia ya eneo hilo katika ziara hiyo mh mkuu wa wilaya amemuomba mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya hiyo bi FIDELICA MYOVELLA kuboresha miundombinu ya eneo hilo ili kiwe chanzo cha mapato ya halmashauri
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa