Kamati maalumu kutoka IFAD TANZANIA kupitia ofisi ya makamu wa rais imefika katika wilaya ya magu kwa ajili ya kukagua maendeleo ya miradi inayofadhiliwa kupitia ofisi ya makamu wa rais mazingira ,kamati hiyo imekagua miradi hiyo na kurodhishwa na maendeleo yaliyofikiwa na vikundi vinavyojishughulisha na ufugaji na kilimo na hivyo kamati imeshauri serikali kuendelaea kuwasimamia wananchi hao ili wafikie malengo tarajiwa ikiwa ni katika kupambana na uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa