Mkuu wa Wilaya ya Magu Dkt. Philemon Sengati,kwa niaba ya wananchi wote wa Magu ametuma Salaam za pole kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na familia za wahanga wa janga la ajali ya kivuko cha MV Nyerere. Tumeguswa na msiba huu na Mungu awaponye manusura wote haraka na kuwarehemu Marehemu wote. Amina
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa