Baraza la madiwani wilayani magu leo tarehe 20/01/2022 limekaa na kupitisha rasimu ya mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023 ambapo Zaidi ya Tsh 50,662855351.52 zimepitishwa ili kukidhi mahitaji na kukamilisha miradi mbalimbali za kimkakati iliyo ainishwa katika bajeti hiyo na baadhi ya miradi hiyo ni pamoja na ukamilishaji wa vyumba 68 vya madarasa kujenga hosteli katika shule nne,kukamilisha ujenzi wa zahanati 5 n.k
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa