Katika kuelekea miaka 59 ya muungano wa Tanganyika na zanzibar Wilaya ya magu yazindua maadhimisho hayo kwa kufanya matendo ya kijamii ikiwa ni pamoja na kupanda miti 400 ,kufanya usafi wa mazingira pamoja na kujitolea kutoa damu salama katika hospitali ya wilaya ya Magu zoezi hili liliongozwa na katibu tawala wa wilaya hiyo ndg Menruf Nyoni akiwa ameongozana na viongozi wa CCM Pamoja na makundi mbalimbali ya wananchi wakiwemo waendesha bodaboda
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa