Halmashauri ya wilaya ya Magu imeshiriki kikamilifu katika maonyesho ya bidhaa mbalimbali za kilimo Mifugo na Uvuvi . Kaulimbiu inasema “ Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa ukuaji wa uchumi wa Nchi” maadhimisho hayo ya Nanenane yameanza tarehe 01.08.2019 na yatahitimishwa rasmi tarehe 08.08.2019 katika Viwanja vya Nyamhongolo Mkoani Mwanza. Zifuatazo ni baadhi ya picha za Bidhaa mbalimbali zinazopatikana Magu.
Viatu vinavyotokana na Ngozi
Maziwa Mtindi yanayotengenezwa Magu
Ufugaji wa Kuku
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa