Pichani ni baadhi ya wananchi kati ya wananchi 700 wa kata ya sukuma wilayani magu wakiwa wameshikilia hati za kimila za ardhi yao mara baada ya waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mh wiliiam lukuvi akiwa na waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais wa muungano na mazingira MH Selemani Jafo ,mkuu wa mkoa wa mwanza mhandisi Gabriel pamoja na mkuu wa wilaya ya Magu ndg Salum A kalli kukamilisha zoezi la ugawaji wa hati hizo na kumaliza kabisa suala la mgogogro wa ardhi katika eneo hilo
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa