Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Magu anawatangazia waomba wa nafasi za wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupiga kura na makarani waongoza wapiga kura kufika kwenye usaili tarehe 14. Oktoba mwaka huu katika ukumbi wa Shule ya Sekondari mAGU day saa 3:00 asubuhi.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa