MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU ANAWATANGAZIA WATU WOTE WA KIJIJI CHA MWABULENGA PAMOJA NA SALAMA KUWA ZOEZI LA UPIMAJI WA ARDHI HAPA KIJIJINI LINAENDELEA HIVYO KILA MMILIKI WA KIPANDE CHA ARDHI AHAKIKISHE AMEPIMIWA ARDHI YAKE.
PIA KWA WALIOPIMIWA MAENEO YAO MWISHO WA KULIPIA NI JUMAMOSI HII HIVYO BASI HAKIKISHA UMELIPIA MAENEO YAKO ILI TARATIBU ZINGINE ZA UMILIKISHAJI ZIENDELEE
MALIPO YANAPOKELEWA OFISI YA MTENDAJI WA KIJIJI AU KWA MTAALAMU ALIYEKUPIMIA AU UNAWEZA LIPA MOJA KWA MOJA KUPITIA AKAUNTI NAMBA YA NMB 31210054599 JINA HAKIKISHA LINAKUJA UPIMAJI SHIRIKISHI KIJIJI CHA MWABULENGA.
PILI KWA WALIOLIPIA MAENEO YAO WAFUATE STAKABADHI ZAO ZA MALIPO OFISI YA MTENDAJI WA KIJIJI.
KUMBUKA KUPIMA NAKUMILIKISHA ARDHI NI JAMBO LA KISHERIA HIVYO BASI PIMA NA HAKIKISHA UMELIPIA KIPANDE CHAKO KUEPUKA KUFUTIWA UMILIKI WAKO NA MWISHO WA KULIPIA NI JUMAMOSI HII TAREHE 28/6/2025.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa