Ziara ya kamati ya uongozi uchumi na mipango ya Halmashauri ya Wilaya Magu imetembelea na kukagaua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa kutokana na mapato ya ndani baadhi ya miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa zahanati ya gereza la wilaya ya Magu ambapo Halmashauri imetoa Tshs milioni 20 kati ya milioni 60 zilizopngwa kuwezesha ukamilishaji wa zahanati hiyo .
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa