Mwenyekiti wa baraza la madiwani Halmashauri ya wilaya ya Magu leo Tarehe 23/02/2022 ameongoza baraza hilo kupitia taarifa ya robo ya pili October hadi Decemba 2021/2022 ambapo miradi mbalimbali inayoendelea na ile miradi ilikamilika kutolewa taarifa kikao hiki kimefanyika katika ukumbi wa CCM Wilaya ya magu.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa