Mkurugenzi Mtendaji (W), Bw. Lutengano G. Mwalwiba amefanya Ukaguzi wa ujenzi/ukarabati wa kituo cha Afya kinachoendelea kujengwa katika kijiji cha Lugeye Kata ya Kitongosima tarehe 01.08.2018. Akiwa katika ukaguzi huo ameridhishwa na ujenzi unavyoendelea na amepiga picha ya pamoja na wananchi wa kata hiyo.
Mafundi wakendelea na ujenzi
Hatua mbalimbali ya ujenzi wa majengo ya kituo cha Afya Lugeye
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa