Mkuu wa mkoa wa Mwanza CPA (T) AMOS GABRIEL MAKALA anatarajiwa kuendesha kikao cha baraza maalumu la majibu ya hoja za mthibiti mkuu na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali mwaka wa fedha 2021/2022 katika halmashauri ya wilaya ya MAGU siku ya tarehe 27/06/2023 kikao hicho kitafanyika katika ukumbi wa CCM wilaya
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa