Saturday 21st, December 2024
@ISOLO WILAYA YA MAGU
Waziri wa nishati dr Medard Kalemani ameindua mwendelezo wa umeme vijijini hatua ya tatu mzunguko wa pili kimkoa katika wilaya ya magu kijiji cha isolo ambapo vijiji vyote 82 vya wilaya ya Magu vitakuwa vimeunganishiwa umeme ifikapo 2022
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa